Mavokali

Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi

Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi
Avatar of Swahili Vibe
Written by Swahili Vibe

Baada ya tetesi kuwa msanii aliyesainishwa leo Februari 2, 2023 na lebo ya WCB ni mwimbaji nyota wa kizazi kipya @mavokali_ kuna hili la kufahamu.

Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi
Mavokali Amesainiwa WCB Wasafi

Mavokali muda mfupi uliopita kupitia insta story yake ameandika “02/02/2023 Deal Done” akiwa na maana leo tarehe 2 mwezi wa pili kuna dili amelikamilisha.

Kufuatia caption hiyo anazidi kuhusishwa kuwa ndiye msanii mpya wa lebo ya WCB anayesubiri kutambulishwa rasmi. Pia kwenye ukurasa wake wa Instagram ameondoa picha zote sehemu ya feed.

Hata hivyo, sio Diamond Platinumz wala uongozi wa lebo ya WCB uliothibitisha hili. Tuendelee kusubiri taarifa rasmi itakayotolewa na uongozi wa lebo.

About the author

Avatar of Swahili Vibe

Swahili Vibe

Swahili Vibes is an Online Music Platform based on Publishing both Audio and Video Contents. this site started in 2022. the aim of this website is to inform, educate and entertain users. All content is created, designed and published with that aim only.

Leave a Comment