NEW AUDIO

Lava Lava – Inatosha

AUDIO Lava Lava - Inatosha MP3 DOWNLOAD
AUDIO Lava Lava - Inatosha MP3 DOWNLOAD
Avatar of Swahili Vibe
Written by Swahili Vibe

Tanzanian Bongo Flava star Lava Lava has released a new song called “Inatosha.” The song is a follow-up to his last EP, ‘Promise,’ which featured Diamond Platnumz and Mbosso among others.

RELATED: Lava Lava – Tajiri

Inatosha” is a catchy Afrobeat song with a positive message. The song is about finding happiness and fulfillment in life, even when things are difficult.

The song has been well-received by fans and critics alike. It has already racked up over 1 million views on YouTube in just a few days.

If you’re a fan of Lava Lava or Afrobeat music, then you need to check out “Inatosha.” You can download the song for free on Swahili Vibe.

QUOTED LYRICS

Akinipenda mama inatoshaAkinipenda baba inatoshaAkinipenda mama inatoshaAkinipenda baba inatosha eh eh
Mwanzo nilikuwa sijuiNilihadithiwa na mababuMwanzo nilikuwa sijui mapenziNiliyasoma kwa vitabu
Sasa nimekuwa nimejua mapenzi uchiziYule unayempenda ndo anakunyima usingiziKwake moyo unautua bila ikipingamiziNa kesho anakuzingua mapenzi ya siku hizi
Unatuma message mchana anajibu usikuUnatuma message usiku anajibu mchanaUnatuma message mchana anajibu usikuMapenzi unamwona online anachatNa kukujibu hatakiAnaposti yuko kwa party na marafiki
Sasa niko single naenjoyNiko single naenjoyMwenzenu niko single naenjoyBora niko single naenjoy
Nikitaka kwenda kibeachNaenda naparty mpaka asubuhiAfu siulizwi oohNaenda naparty mpaka asubuhi
Nikitaka kwenda tipsyNaenda naparty mpaka asubuhiElement samaki samakiNaenda naparty mpaka asubuhi
Juliana Liquidi ooohOoh shobo (Ricardo Momo)Sitaki Shobo (Don Fumbwe)Ooh shobo (Msalimie mkubwa Fela na babu Tale)Sitaki Shobo na mapenzi (Don Mendez mahela)
Sitaki Shobo na mapenziBora kila mtu kivyakeMwenzenu mi siwezi naona bora niacheYasije nitokea puani
Mkingombana kidogo kammiss ex wakeNa wanachat na kuview status zakeWakumbushie zamani naa.Makopa kopa wanatumianiEmoji za makopa eti kucommentianaMakopa kopa wanatumianiEmoji za makopa eti kucommentiana
Ukiniona nacheza mziki usidhani nina mawazoJamani kuwa single rahaUkiona navuta shisha usidhani nina mastressWala na enjoy raha
Ukiniona nakunywa Hennessy usije dhani nina msongoJamani usingle rahaUkiniona nangonga KVANT usije kanihamadaJamani kuwa single raha, niacheni mwenzenu
Sasa niko single naenjoyNiko single naenjoyMwenzenu niko single naenjoyBora niko single naenjoy
Nikitaka kwenda DubaiNaenda naparty mpaka asubuhiKitambaa cheupe kwetu pazuzi oohNaenda naparty mpaka asubuhi
Ka unapepeta msondo ngomaNaenda naparty mpaka asubuhiSio fute fute la jashoNaenda naparty mpaka asubuhiUhuru picky, party pointyJangwani sea breeze, the baze tucheze wote
Komboa komboa saga, saga kisiginoKomboa komboa saga, isagie kwa juuKomboa komboa saga, sagia kwa chini chiniAh ah ah, saa hivi inatakiwa tusage viuno jamani
Aya twende, komboa komboa sagaShikilia deraKomboa komboa sagaZungusha acha kumweraKomboa komboa sagaKata tutunze mahelaAkinipenda mama inatosha

Listen to Inatosha by Lava Lava Below;

AUDIO Lava Lava – Inatosha MP3 DOWNLOAD

DOWNLOAD AUDIO

About the author

Avatar of Swahili Vibe

Swahili Vibe

Swahili Vibes is an Online Music Platform based on Publishing both Audio and Video Contents. this site started in 2022. the aim of this website is to inform, educate and entertain users. All content is created, designed and published with that aim only.

Leave a Comment